WAFAHAMU ASAS/AL MERREIKH/WAPINZANI WA YANGA/TIMU YA KAWAIDA/SINGIDA/JKU KAZI WANAYO – GHARIB MZINGA

Baada ya Kufanyika Droo ya Ligi ya Mabingwa Afrika na Kombe la Shirikisho Barani Afrika Mpenja Tv tumekuletea Uchambuzi wa Viwango kutoka kwa Mchambuzi Bora Kabisa wa Soka la Afrika Gharib Mzinga….